BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM

Monday, January 05, 2015

MATHEO KINEMO AZIKWA KIJIJINI KWAO MKONGOTEMA SONGEA

Mazishi ya Matheo Melkiory Kinemo(39) kijijini kwao Mkongotema alifariki tarehe 30/12/2014 na kuzikwa tarehe 03/01/2015.Marehemu alikuwa mtumishi wa wizara ya afya na ustawi wa jamii kitengo cha damu salama kanda ya nyanda za juu kusini.

Marehemu Kinemo enzi za uhai wake



Ndugu na jamaa wakiwa na simanzi
Wazazi wa marehemu wakiweka shada la maua


Wafanyakazi wenzake wakiwasha mishumaa kama ishara ya upendo kwa marehemu


Mvua ikiendelea kunyesha eneo la Mkongotema
Afisa tawala wa Blood Bank akimkabidhi ndugu wa marehemu wasfu wa marehemu