| Mazishi ya Matheo Melkiory Kinemo(39) kijijini kwao Mkongotema alifariki tarehe 30/12/2014 na kuzikwa tarehe 03/01/2015.Marehemu alikuwa mtumishi wa wizara ya afya na ustawi wa jamii kitengo cha damu salama kanda ya nyanda za juu kusini. | 
![]()  | 
| Marehemu Kinemo enzi za uhai wake | 
![]()  | |
| Ndugu na jamaa wakiwa na simanzi | 
![]()  | 
| Wazazi wa marehemu wakiweka shada la maua | 
![]()  | 
| Wafanyakazi wenzake wakiwasha mishumaa kama ishara ya upendo kwa marehemu | 
![]()  | 
| Mvua ikiendelea kunyesha eneo la Mkongotema | 
![]()  | 
| Afisa tawala wa Blood Bank akimkabidhi ndugu wa marehemu wasfu wa marehemu | 





