![]()  | 
| Timu ya Ivory Coast wakishangilia ubingwa wa Afrika 2015 | 
![]()  | |||
| Wilfred Bon akiwa amembeba golikipa Boubacary Barry wa Ivory Coast baada ya kuokoa penati na kuifungia timu yake penati ya mwisho. | 
![]()  | |
| Nahodha wa Ivory Coast Yaya Toure akiwa na wenzake wakishangilia ubingwa wa Afrika. | 
![]()  | 
| Mshambuliaji wa Ivory Coast Wilfred Bon akijaribu kumtoka mlinzi wa Ghana | 



