KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM
Saturday, May 05, 2012
RASHID YEKINI AFARIKI DUNIA.
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Nigeria na mchezaji bora wa kwanza wa Afrika mwanzoni mwa miaka ya tisini baada ya utaratibu huu kuanzishwa. Yekini amefariki akiwa na umri wa miaka 48 na ameichechezea timu yake ya taifa kwa mafanikio makubwa kabla ya kutundika daluga.
No comments:
Post a Comment