KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM
Tuesday, January 14, 2014
CHRISTIAN RONALDO MCHEZAJI BORA 2014
Christian Ronaldo leo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2014/15 kwa kuwashinda wachezaji Leon Messi wa Argentina na klabu ya Barcelona na Frank Ribery wa Ufaransa na klabu ya Bayern Munich. Tuzo hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Leon Mess kwa miaka minne mfululizo.
No comments:
Post a Comment