KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM
Tuesday, August 14, 2012
MABAKI YA HELKOPTA ZA UGANDA YAPATIKANA MLIMA KENYA
Mabaki ya helkopta mbili za Uganda yamepatikana mlima Kenya,helkopta hizo ziliondoka nchini Uganda jumapili zikiwa zinaelekea nchini Somalia kuongeza nguvu kwenye jeshi la kulinda amani la Afrika. Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana.
No comments:
Post a Comment