BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM

Tuesday, May 05, 2015

CHELSEA BINGWA ENGLAND 2015

   Timu ya Chelsea ya London imekuwa bingwa mpya wa soka England kabla ya msimu kumalizika baada ya Crystal Palace bao 1-0 kwenye uwanja wa Stamford Bridge,goli hilo likifungwa na Eden Hazard kwa kichwa kutokana na kipa kupangua penati aliyopiga na hivyo Hazard kuiwahi na kuandika goli lililowapa ushindi katika  mchezo.
  Chelsea inakuwa bingwa kutokana na kufikisha pointi 83 kwa michezo 35,ambazo haziwezi kufikiwa na timu yeyote,Manchester City wako nafasi ya pili wakiwa na pointi 67 na michezo 35 huku Arsenal wakifuatia nao wakiwa na pointi 67 na michezo 35 na hivyo kuwafanya Chelsea kuwa mabingwa.
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wao

Msimamo wa ligi mpaka sasa
  Hii ni faraja kubwa kwa Didier Drogba ambaye hili ni taji lake la nne la ligi kuu kwenye klabu hii ambayo ameichezea kwa mafanikio makubwa.
 Mabeki wa Crystal Palace wakijaribu kumzuia Matic asilete madhara golini kwao
Didier Drogba akipambana na mabeki wa Crystal Palace

Huu ni mfululizo wa mabingwa wa England-Football League (1888–1892)

Year Champions
(number of titles)
Runners-up Third place Leading goalscorer Goals
1888–89 Preston North End[1] Aston Villa Wolverhampton Wanderers John Goodall (Preston North End) 21
1889–90 Preston North End (2) Everton Blackburn Rovers Jimmy Ross (Preston North End) 24
1890–91 Everton Preston North End Notts County Jack Southworth (Blackburn Rovers) 26
1891–92 Sunderland Preston North End Bolton Wanderers John Campbell (Sunderland) 32

Football League First Division (1892–1992)

Year Champions
(number of titles)
Runners-up Third place Leading goalscorer Goals
1892–93 Sunderland (2) Preston North End Everton John Campbell (Sunderland) 31
1893–94 Aston Villa Sunderland Derby County Jack Southworth (Everton) 27
1894–95 Sunderland (3) Everton Aston Villa John Campbell (Sunderland) 22
1895–96 Aston Villa (2) Derby County Everton Johnny Campbell (Aston Villa)
Steve Bloomer (Derby County)
20
1896–97 Aston Villa (3) Sheffield United Derby County Steve Bloomer (Derby County) 22
1897–98 Sheffield United Sunderland Wolverhampton Wanderers Fred Wheldon (Aston Villa) 21
1898–99 Aston Villa (4) Liverpool Burnley Steve Bloomer (Derby County) 23
1899–1900 Aston Villa (5) Sheffield United Sunderland Billy Garraty (Aston Villa) 27
1900–01 Liverpool Sunderland Notts County Steve Bloomer (Derby County) 23
1901–02 Sunderland (4) Everton Newcastle United Jimmy Settle (Everton) 18
1902–03 The Wednesday[8] Aston Villa Sunderland Sam Raybould (Liverpool) 31
1903–04 The Wednesday[8] (2) Manchester City Everton Steve Bloomer (Derby County) 20
1904–05 Newcastle United Everton Manchester City Arthur Brown (Sheffield United) 22
1905–06 Liverpool (2) Preston North End The Wednesday Albert Shepherd (Bolton Wanderers) 26
1906–07 Newcastle United (2) Bristol City Everton Alex Young (Everton) 30
1907–08 Manchester United Aston Villa Manchester City Enoch West (Nottingham Forest) 27
1908–09 Newcastle United (3) Everton Sunderland Bert Freeman (Everton) 38
1909–10 Aston Villa (6) Liverpool Blackburn Rovers Jack Parkinson (Liverpool) 30
1910–11 Manchester United (2) Aston Villa Sunderland Albert Shepherd (Newcastle United) 25
1911–12 Blackburn Rovers Everton Newcastle United Harry Hampton (Aston Villa)
George Holley (Sunderland)
David McLean (The Wednesday)
25
1912–13 Sunderland (5) Aston Villa The Wednesday David McLean (The Wednesday) 30
1913–14 Blackburn Rovers (2) Aston Villa Middlesbrough George Elliot (Middlesbrough) 32
1914–15 Everton (2) Oldham Athletic Blackburn Rovers Bobby Parker (Everton) 35
1915/16–1918/19 League suspended due to the First World War
1919–20 West Bromwich Albion Burnley Chelsea Fred Morris (West Bromwich Albion) 37
1920–21 Burnley Manchester City Bolton Wanderers Joe Smith (Bolton Wanderers) 38
1921–22 Liverpool (3) Tottenham Hotspur Burnley Andy Wilson (Middlesbrough) 31
1922–23 Liverpool (4) Sunderland Huddersfield Town Charlie Buchan (Sunderland) 30
1923–24 Huddersfield Town Cardiff City Sunderland Wilf Chadwick (Everton) 28
1924–25 Huddersfield Town (2) West Bromwich Albion Bolton Wanderers Frank Roberts (Manchester City) 31
1925–26 Huddersfield Town (3) Arsenal Sunderland Ted Harper (Blackburn Rovers) 43
1926–27 Newcastle United (4) Huddersfield Town Sunderland Jimmy Trotter (The Wednesday) 37
1927–28 Everton (3) Huddersfield Town Leicester City Dixie Dean (Everton) 60
1928–29 The Wednesday[8] (3) Leicester City Aston Villa Dave Halliday (Sunderland) 43
1929–30 Sheffield Wednesday (4) Derby County Manchester City Vic Watson (West Ham United) 41
1930–31 Arsenal Aston Villa Sheffield Wednesday Tom Waring (Aston Villa) 49
1931–32 Everton (4) Arsenal Sheffield Wednesday Dixie Dean (Everton) 44
1932–33 Arsenal (2) Aston Villa Sheffield Wednesday Jack Bowers (Derby County) 35
1933–34 Arsenal (3) Huddersfield Town Tottenham Hotspur Jack Bowers (Derby County) 34
1934–35 Arsenal (4) Sunderland Sheffield Wednesday Ted Drake (Arsenal) 42
1935–36 Sunderland (6) Derby County Huddersfield Town W. G. Richardson (West Bromwich Albion) 39
1936–37 Manchester City Charlton Athletic Arsenal Freddie Steele (Stoke City) 33
1937–38 Arsenal (5) Wolverhampton Wanderers Preston North End Tommy Lawton (Everton) 28
1938–39 Everton (5) Wolverhampton Wanderers Charlton Athletic Tommy Lawton (Everton) 35
1939–40 League suspended in September 1939 due to outbreak of the Second World War
(Blackpool were top of the table at that time)
1940/41–1945/46
1946–47 Liverpool (5) Manchester United Wolverhampton Wanderers Dennis Westcott (Wolverhampton Wanderers) 37
1947–48 Arsenal (6) Manchester United Burnley Ronnie Rooke (Arsenal) 33
1948–49 Portsmouth Manchester United Derby County Willie Moir (Bolton Wanderers) 25
1949–50 Portsmouth (2) Wolverhampton Wanderers Sunderland Dickie Davis (Sunderland) 25
1950–51 Tottenham Hotspur Manchester United Blackpool Stan Mortensen (Blackpool) 30
1951–52 Manchester United (3) Tottenham Hotspur Arsenal George Robledo (Newcastle United) 33
1952–53 Arsenal (7) Preston North End Wolverhampton Wanderers Charlie Wayman (Preston North End) 24
1953–54 Wolverhampton Wanderers West Bromwich Albion Huddersfield Town Jimmy Glazzard (Huddersfield Town) 29
1954–55 Chelsea Wolverhampton Wanderers Portsmouth Ronnie Allen (West Bromwich Albion) 27
1955–56 Manchester United (4) Blackpool Wolverhampton Wanderers Nat Lofthouse (Bolton Wanderers) 33
1956–57 Manchester United (5) Tottenham Hotspur Preston North End John Charles (Leeds United) 38
1957–58 Wolverhampton Wanderers (2) Preston North End Tottenham Hotspur Bobby Smith (Tottenham Hotspur) 36
1958–59 Wolverhampton Wanderers (3) Manchester United Arsenal Jimmy Greaves (Chelsea) 33
1959–60 Burnley (2) Wolverhampton Wanderers Tottenham Hotspur Dennis Viollet (Manchester United) 32
1960–61 Tottenham Hotspur (2) Sheffield Wednesday Wolverhampton Wanderers Jimmy Greaves (Chelsea) 41
1961–62 Ipswich Town Burnley Tottenham Hotspur Ray Crawford (Ipswich Town)
Derek Kevan (West Bromwich Albion)
33
1962–63 Everton (6) Tottenham Hotspur Burnley Jimmy Greaves (Tottenham Hotspur) 37
1963–64 Liverpool (6) Manchester United Everton Jimmy Greaves (Tottenham Hotspur) 35
1964–65 Manchester United (6) Leeds United Chelsea Andy McEvoy (Blackburn Rovers)
Jimmy Greaves (Tottenham Hotspur)
29
1965–66 Liverpool (7) Leeds United Burnley Willie Irvine (Burnley) 29
1966–67 Manchester United (7) Nottingham Forest Tottenham Hotspur Ron Davies (Southampton) 37
1967–68 Manchester City (2) Manchester United Liverpool George Best (Manchester United)
Ron Davies (Southampton)
28
1968–69 Leeds United Liverpool Everton Jimmy Greaves (Tottenham Hotspur) 27
1969–70 Everton (7) Leeds United Chelsea Jeff Astle (West Bromwich Albion) 25
1970–71 Arsenal (8) Leeds United Tottenham Hotspur Tony Brown (West Bromwich Albion) 28
1971–72 Derby County Leeds United Liverpool Francis Lee (Manchester City) 33
1972–73 Liverpool[2] (8) Arsenal Leeds United Pop Robson (West Ham United) 28
1973–74 Leeds United (2) Liverpool Derby County Mick Channon (Southampton) 21
1974–75 Derby County (2) Liverpool Ipswich Town Malcolm Macdonald (Newcastle United) 21
1975–76 Liverpool[2] (9) Queens Park Rangers Manchester United Ted MacDougall (Norwich City) 23
1976–77 Liverpool[4] (10) Manchester City Ipswich Town Malcolm Macdonald (Arsenal)
Andy Gray (Aston Villa)
25
1977–78 Nottingham Forest[4] Liverpool Everton Bob Latchford (Everton) 30
1978–79 Liverpool (11) Nottingham Forest West Bromwich Albion Frank Worthington (Bolton Wanderers) 24
1979–80 Liverpool (12) Manchester United Ipswich Town Phil Boyer (Southampton) 23
1980–81 Aston Villa (7) Ipswich Town Arsenal Peter Withe (Aston Villa)
Steve Archibald (Tottenham Hotspur)
20
1981–82 [5] Liverpool[5](13) Ipswich Town Manchester United Kevin Keegan (Southampton) 26
1982–83 Liverpool[4] (14) Watford Manchester United Luther Blissett (Watford) 27
1983–84 Liverpool[3][4] (15) Southampton Nottingham Forest Ian Rush (Liverpool) 32
1984–85 Everton[6] (8) Liverpool Tottenham Hotspur Kerry Dixon (Chelsea)
Gary Lineker (Leicester City)
24
1985–86 Liverpool (16) Everton West Ham United Gary Lineker (Everton) 30
1986–87 Everton (9) Liverpool Tottenham Hotspur Clive Allen (Tottenham Hotspur) 33
1987–88 Liverpool (17) Manchester United Nottingham Forest John Aldridge (Liverpool) 26
1988–89 Arsenal (9) Liverpool Nottingham Forest Alan Smith (Arsenal) 23
1989–90 Liverpool (18) Aston Villa Tottenham Hotspur Gary Lineker (Tottenham Hotspur) 24
1990–91 Arsenal (10) Liverpool Crystal Palace Alan Smith (Arsenal) 22
1991–92 Leeds United (3) Manchester United Sheffield Wednesday Ian Wright (Crystal Palace/Arsenal) 29

Premier League (1992–present)

Year Champions
(number of titles)
Runners-up Third place Top goalscorer Goals
1992–93 Manchester United (8) Aston Villa Norwich City Teddy Sheringham (Nottingham Forest/Tottenham Hotspur) 22
1993–94 Manchester United (9) Blackburn Rovers Newcastle United Andrew Cole (Newcastle United) 34
1994–95 Blackburn Rovers (3) Manchester United Nottingham Forest Alan Shearer (Blackburn Rovers) 34
1995–96 Manchester United (10) Newcastle United Liverpool Alan Shearer (Blackburn Rovers) 31
1996–97 Manchester United (11) Newcastle United Arsenal Alan Shearer (Newcastle United) 25
1997–98 Arsenal (11) Manchester United Liverpool Chris Sutton (Blackburn Rovers)
Dion Dublin (Coventry City)
Michael Owen (Liverpool)
18
1998–99 Manchester United[7] (12) Arsenal Chelsea Jimmy Floyd Hasselbaink (Leeds United)
Michael Owen (Liverpool)
Dwight Yorke (Manchester United)
18
1999–2000 Manchester United (13) Arsenal Leeds United Kevin Phillips (Sunderland) 30
2000–01 Manchester United (14) Arsenal Liverpool Jimmy Floyd Hasselbaink (Chelsea) 23
2001–02 Arsenal (12) Liverpool Manchester United Thierry Henry (Arsenal) 24
2002–03 Manchester United (15) Arsenal Newcastle United Ruud van Nistelrooy (Manchester United) 25
2003–04 Arsenal[1] (13) Chelsea Manchester United Thierry Henry (Arsenal) 30
2004–05 Chelsea[4] (2) Arsenal Manchester United Thierry Henry (Arsenal) 25
2005–06 Chelsea (3) Manchester United Liverpool Thierry Henry (Arsenal) 27
2006–07 Manchester United (16) Chelsea Liverpool Didier Drogba (Chelsea) 20
2007–08 Manchester United (17) Chelsea Arsenal Cristiano Ronaldo (Manchester United) 31
2008–09 Manchester United[4] (18) Liverpool Chelsea Nicolas Anelka (Chelsea) 19
2009–10 Chelsea (4) Manchester United Arsenal Didier Drogba (Chelsea) 29
2010–11 Manchester United (19) Chelsea Manchester City Dimitar Berbatov (Manchester United)
Carlos Tevez (Manchester City)
20
2011–12 Manchester City (3) Manchester United Arsenal Robin van Persie (Arsenal) 30
2012–13 Manchester United (20) Manchester City Chelsea Robin van Persie (Manchester United) 26
2013–14 Manchester City[4] (4) Liverpool Chelsea Luis Suárez (Liverpool) 31
2014–15 Chelsea (5) TBA TBA TBA TBA

Bold indicates Double winners – i.e. League and FA Cup winners OR League and European Cup winners
Bold Italic indicates Treble winners – i.e. League, FA Cup and European Cup winners

Total titles won

Teams in bold compete in the Premier League as of 2014–15 season.
Club Winners Runners-up Winning seasons
Manchester United
20
15
1907–08, 1910–11, 1951–52, 1955–56, 1956–57, 1964–65, 1966–67, 1992–93, 1993–94, 1995–96, 1996–97, 1998–99, 1999–2000, 2000–01, 2002–03, 2006–07, 2007–08, 2008–09, 2010–11, 2012–13
Liverpool
18
13
1900–01, 1905–06, 1921–22, 1922–23, 1946–47, 1963–64, 1965–66, 1972–73, 1975–76, 1976–77, 1978–79, 1979–80, 1981–82, 1982–83, 1983–84, 1985–86, 1987–88, 1989–90
Arsenal
13
8
1930–31, 1932–33, 1933–34, 1934–35, 1937–38, 1947–48, 1952–53, 1970–71, 1988–89, 1990–91, 1997–98, 2001–02, 2003–04
Everton
9
7
1890–91, 1914–15, 1927–28, 1931–32, 1938–39, 1962–63, 1969–70, 1984–85, 1986–87
Aston Villa
7
10
1893–94, 1895–96, 1896–97, 1898–99, 1899–1900, 1909–10, 1980–81
Sunderland
6
5
1891–92, 1892–93, 1894–95, 1901–02, 1912–13, 1935–36
Chelsea
5
4
1954–55, 2004–05, 2005–06, 2009–10, 2014–15
Manchester City
4
4
1936–37, 1967–68, 2011–12, 2013–14
Newcastle United
4
2
1904–05, 1906–07, 1908–09, 1926–27
Sheffield Wednesday
4
1
1902–03, 1903–04, 1928–29, 1929–30
Leeds United
3
5
1968–69, 1973–74, 1991–92
Wolverhampton Wanderers
3
5
1953–54, 1957–58, 1958–59
Huddersfield Town
3
3
1923–24, 1924–25, 1925–26
Blackburn Rovers
3
1
1911–12, 1913–14, 1994–95
Preston North End
2
6
1888–89, 1889–90
Tottenham Hotspur
2
4
1950–51, 1960–61
Derby County
2
3
1971–72, 1974–75
Burnley
2
2
1920–21, 1959–60
Portsmouth
2
0
1948–49, 1949–50
Ipswich Town
1
2
1961–62
Nottingham Forest
1
2
1977–78
Sheffield United
1
2
1897–98
West Bromwich Albion
1
2
1919–20
Bristol City
0
1

Oldham Athletic
0
1

Cardiff City
0
1

Leicester City
0
1

Charlton Athletic
0
1

Blackpool
0
1

Queen's Park Rangers
0
1

Watford
0
1

Southampton
0
1

Monday, May 04, 2015

COMPUBOX:MANNY PACQUIAO LANDS JUST 81 PUNCHES AGAINST MAYWEATHER.

LAS VEGAS — In this case, the numbers don't lie.
Floyd Mayweather improved to 48-0 on Saturday night with a unanimous decision victory over Manny Pacquiao, with the judges agreeing on 10 of the 12 rounds.
They were seeing the same thing: Mayweather wasn't getting hit by one of the highest volume punchers in boxing. Partially because Pacquiao wasn't throwing many actual punches.
Mayweather landed 148 of 435 (34 percent) punches in the fight, while Pacquiao connected on just 19 percent (81 of 429) of his punches against Mayweather. Pacquiao averaged only six punches landed per round, and connected on just 18 jabs in the entire fight.
Pacquiao's drop in punch output is in line with a recent trend. In wins over Brandon Rios, Timothy Bradley and Chris Algieri, Pacquiao averaged 674 punches per 36 minutes. In his previous 10 fights, he had averaged 860.7 punches per 36 minutes. On Saturday, the dropoff was even more severe.
Marcos Maidana had more success landing punches against Mayweather than Pacquiao. In both of their 2014 fights, Maidana landed 22 percent of his shots.


After the fight, Pacquiao disclosed that he had been battling through a recurring right shoulder injury and it made him reluctant to use his jab. By contrast, Mayweather threw 267 jabs in the fight and used it as a weapon to keep Pacquiao at bay, even though he only landed 25 percent of them.
For Mayweather, this was the first time in five fights he's landed fewer than 50 percent of his power punches. He was 81 of 168 (48 percent).

Thursday, April 30, 2015

FLOYD MAYWEATHER v/s MANNY PACQUIAO


 Wanamasumbwi wenye majina makubwa kwa sasa duniani,Manny Pacquiao na Floyd Mayweather wanategemea kupanda ulingoni tarehe 02/05/2015 usiku wa jumamosi huko marekani kwa saa za Afrika mashariki tayari itakuwa alfajiri ya tarehe 03/05/2015 siku ya jumapili.
 Mpambano huo wa kusisimua utakata mzizi wa fitna kwa kujua ni nani zaidi katika masumbwi kutokana na kutambiana kwa muda mrefu na kuonekana kama walikuwa wakikwepana.
  Pambano hilo litafanyika ukumbi wa MGM Grand Cassino huko Las Vegas,Marekani na kuhudhuriwa na watu wengi zaidi na watu maarufu kutokana na tiketi ambazo zimeshauzwa kwa ajili ya pambano hili.
  Manny Pacquiao akiongea kwa kujiamini amesema "Every thing i have accomplished,God has given me this strength.I used to sleep in the street,hungry,and i cannot imagine that the Lord raised me to this level of life"  

Wednesday, April 29, 2015

YANGA BINGWA TANZANIA KWA MARA YA 25

 Timu ya Yanga ya Dar es salaam imefanikiwa kunyakuwa taji la 25 tangu kuanziswa kwa ligi kuu ya Tanzania mwaka 1965,timu hii imefanikiwa kunyakuwa ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa 2014/15 kwa kuwafunga Polisi morogoro 4-1 na huku ikiwa imesaliwa na mechi mbili mkononi kati ya Ndanda FC na Azam FC.
  Yanga kabla ya kumalizia mechi zake mbili zilizobaki itakwenda Tunisia kucheza mchezo wa marudiano wa kombe la shirikisho barani Afrika kati ya Etoile Du Sahel ambapo kwenye mechi ya kwanza timu hizo zilitoka sare ya goli 1-1 jijini Dar es salaam,ikumbukwe kuwa Yanga ndio mwakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa baada ya wawakilishi wengine kutolewa mapema.
 Kwa kufanikiwa kuchukua ubingwa wa mwaka huu Yanga itawakilisha tena Taifa mwakani,kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika ambayo mwaka huu mwakilishi alikuwa Azam FC ambaye alitolewa na El-merreikh ya Sudan raundi ya kwanza.
Viongozi,walimu na wachezaji wa timu ya Yanga wakiwa na furaha mara baada ya ushindi.

Saturday, April 25, 2015

AZAM NA SIMBA KUTOANA ROHO KWENYE MECHI YAO INAYOFUATA

 Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Azam FC wanaelekea kupoteza ubingwa wao kutokana na spidi ya timu kongwe hapa nchini Yanga kutokamatika,timu ya Azam leo imeshuka dimbani na kujikusanyia alama 3 dhidi ya Stand United kwa kuifunga magoli 3-0 kwenye uwanja wa Chamazi Complex.
 Nao Simba walikuwa kwenye uwanja wa taifa kuminyana na Ndanda FC kutoka Mtwara na matokeo Simba wamechomoza na ushindi wa magoli 3-0 na hivyo kufanya mechi ya Azam na Simba jumamosi ijayo  kuwa ngumu kutokana na timu hizo kukaribiana pointi na mshindi wa mechi hiyo anaweza kujihakikishia nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa mwakani.
 Azam wao wanahitaji ushindi ili mechi yao ya mwisho na Yanga iwe haina madhara kwa matokeo ya aina yeyote huku Simba wakihitaji ushindi na kuomba Yanga awafunge Azam kitu ambacho ni kigumu kwa miaka mingi watani hao wa jadi kuombeana mema.
 Huko Mbeya timu ya Mbeya City nayo imeibuka na ushindi mnono wa goli 2-0 dhidi ya wakata miwa wa Kagera Sugar na kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kutoshuka daraja.
 Huu ndio msimamo wa ligi kuu ya Vodacom baada ya mechi za leo:-
 Bado hali si shwari kwa timu za Tanzania Prisons,Ndanda FC,Polisi Moro,JKT Ruvu wanaonekana kuchungulia kaburi na kurudi daraja la kwanza msimu ujao kwa yeyote atakayefanya vibaya kwenye yake ya mwisho.

Wednesday, April 22, 2015

SIMBA YAMALIZIA HASIRA ZA MBEYA CITY KWA MGAMBO JKT.

  Timu ya Simba SC ya Dar es salaam leo imewaadhibu Mgambo JKT ya Tanga kwa jumla ya magoli 4-0 kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom.
 Magoli ya Simba yamefungwa na Emmanuel Okwi matatu na Ramadhani Singano Messi akipachika goli moja kwa mpira wa adhabu ambao ulikwenda moja kwa moja wavuni,Simba waliweza kutawala mchezo huo kwa muda wote na kama washambuliaji wake wangekuwa makini zaidi wangeweza kuondoka na kapu la magoli,Simba ambayo siku nne zilizopita ilifungwa goli 2-0 na Mbeya City leo wamerekebisha makosa yao na kucheza mpira wa hali ya juu na kuweza kuwadhibiti wapinzani wao ambao kwenye mchezo wa kwanza uliofanyika Mkwakwani Tanga waliweza kuwafunga Simba goli 2-0.
 Simba sasa inafikisha alama 38,ikiwa imecheza michezo 23 wakiwa nyuma ya Azam fc wenye alama 42 na michezo 22,timu ya Yanga ndio inaongoza ligi ikiwa na alama 49 kwa michezo 22 ni dhahiri kuwa Yanga wamejihakikishia moja kati ya nafasi mbili za juu kutokana na Simba hata kama itashinda michezo yake iliyobaki itaishia alama 47 ambazo zimeshapitwa na Yanga,Simba sasa itabidi amuombee Azam matokeo mabaya ili aweze kupata nafasi ya pili ambayo itampa tiketi ya kuliwakilisha Taifa kwenye michezo ya shirikisho mwakani.
 Huu ndio msimamo wa ligi kuu baada ya mechi ya leo:
 Hali si nzuri kwa timu za Tanzania Prisons,Polisi Morogoro,Ndanda FC na JKT Ruvu zisipofanya marekebisha ya haraka zinaweza zikajikuta miongoni mwao zinashuka daraja msimu huu.

Saturday, April 11, 2015

MLOWO UNITED YAWASHUSHIA KIPIGO SHUKRANI MWALEMBE CHA GOLI 4-1

 Mlowo United timu kongwe wilayani Mbozi imewashushia kipigo cha goli 4-1 timu ya Shukrani Mwalembe FC kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa shule ya msingi ya Mlowo.
 Mlowo United waliokuwa wenyeji wa mchezo walitawala sehemu kubwa ya mchezo huo uliohudhuriwa na mashabiki wengi,Mlowo United walijipatia magoli yao kupitia kwa wachezaji wao mahiri,goli la kwanza likifungwa na Francis Mwigani,la pili likifungwa na mshambuliaji hatari Noah Kaminyoge huku la tatu na la nne likifungwa na nyota wa mchezo huo Derick Walulya.
                                   Wachezaji wa Mlowo United wakipiga dua kabla ya mchezo.
                               Mlowo United wakisubiri kukaguliwa na mwamuzi wa pambano hilo.  
                     Wachezaji wakisalimiana na wapinzani wao pamoja na waamuzi wa mchezo huo.
                                    Wachezaji wa Mlowo United wakichukua picha ya pamoja.
  Mpaka kipenga cha mwisho kinapulizwa Mlowo United 4,Shukrani Mwalembe 1 mara baada ya mchezo niliongea na baadhi ya mashabiki wa timu zote mbili lakini waliokuwa na furaha zaidi ni shabiki wa Mlowo United Bwana Moses Lwesya ambaye amewamwagia sifa kibao wachezaji wa Mlowo United,michuano inadhaminiwa na Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki Mh.Godfrey Zambi.

Monday, February 09, 2015

IVORY COAST BINGWA WA AFRIKA 2015

 Timu ya taifa ya Ivory Coast imefanikiwa kutwaa ubingwa kwa mataifa ya Afrika 2015 kwa kuwafunga Ghana kwa mikwaju ya Penati 9-8 kwenye uwanja Bata nchini Equitarial Guinea,timu hizo zilicheza dakika 120 na kufanya matokeo kuwa 0-0 hadi dakika 90 na dakika 30 za nyongeza na hivyo kufikia kwenye hatua ya mikwaju ya penati,Ivory Coast walianza kwa kukosa penati iliyopigwa na Wilfred Bon kugonga mwamba na kurudi uwanjani,Ghana walipata penati yao ya kwanza,pili na nne na kupoteza ya tatu na ya tano,huku wenzao wakipoteza tena ya pili huku wakipata ya tatu,nne na tano,baada ya penati tano ikawa ikiongezwa moja moja mpaka kufikia jumla penati 11 kwa kila timu na kumfanya golikipa wa Ivory Coast Boubacary Barry kuibuka shujaa aliweza kucheza penati 2 na kufunga ya mwisho huku golikipa wa Ghana,Razak akipiga penati ambayo iliokolewa na Barry.
Timu ya Ivory Coast wakishangilia ubingwa wa Afrika 2015
Wilfred Bon akiwa amembeba golikipa Boubacary Barry wa Ivory Coast baada ya kuokoa penati na  kuifungia timu yake penati ya mwisho. 

Nahodha wa Ivory Coast Yaya Toure akiwa na wenzake wakishangilia ubingwa wa Afrika.
Mshambuliaji wa Ivory Coast Wilfred Bon akijaribu kumtoka mlinzi wa Ghana

YANGA YAICHAPA MTIBWA 2-0 NA KUREJEA KILELENI

                           Kocha mkuu wa Yanga Hans Plujn akitoa maelezo kwa wachezaji wake
Hamis Tambwe wa Yanga akipambana na golikipa wa Mtibwa Sugar Said Mohamed
                        Haruna Niyonzima akijaribu kumtoka mlinzi wa Mtibwa Sugar David Luhende

Monday, January 05, 2015

MATHEO KINEMO AZIKWA KIJIJINI KWAO MKONGOTEMA SONGEA

Mazishi ya Matheo Melkiory Kinemo(39) kijijini kwao Mkongotema alifariki tarehe 30/12/2014 na kuzikwa tarehe 03/01/2015.Marehemu alikuwa mtumishi wa wizara ya afya na ustawi wa jamii kitengo cha damu salama kanda ya nyanda za juu kusini.

Marehemu Kinemo enzi za uhai wake



Ndugu na jamaa wakiwa na simanzi
Wazazi wa marehemu wakiweka shada la maua


Wafanyakazi wenzake wakiwasha mishumaa kama ishara ya upendo kwa marehemu


Mvua ikiendelea kunyesha eneo la Mkongotema
Afisa tawala wa Blood Bank akimkabidhi ndugu wa marehemu wasfu wa marehemu