KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM
Friday, March 16, 2012
AFRICAN RAINBOW SECONDARY YACHAPWA NA MAZWI SECONDARY KWENYE MCHEZO WA KIRAFIKI.
Timu ya netball ya Mazwi Secondary leo imewafunga wenzao wa African Rainbow mabao 46-39. Nyota wa mchezo wa leo alikuwa Georgina Maheka wa Mazwi licha ya kukabiliana na ukuta mgumu wa African Rainbow ukiongozwa na Tamali Joseph. Mchezo umechezwa kwenye uwanja wa Mazwi Secondary.
No comments:
Post a Comment