KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM
Sunday, March 18, 2012
MAZISHI YA DIWANI WA KATA YA MYOVIZI MH.SUNDAY SHULA YAFANYIKA LEO.
Umati wa waombolezaji wakiwa kijijini Ichesa wilayani Mbozi,wakkwenye mazishi ya diwani wa kata ya Myovizi kwa tiketi ya CCM. Mh.Shulla alifariki jana asubuhi katika hospitali ya wilaya ya Mbozi na mazishi yake ndio yanafanyika muda huu.
No comments:
Post a Comment