| Wakina mama wa eneo la Kiwira wakiuza matunda ya aina mbalimbali kwa wageni na wenyeji wa wanaopita kwenye barabara ya Dar-Malawi. | 
| Wakina mama wakisubiri wateja wa ndizi eneo la Kiwira | 
| Eneo hili ndilo linlofanyiwa biashara eneo la Kiwira,licha kukaa kihatarihatari | 
| Wakina mama wakiuza ndizi,maparachichi,mananasi nk.kwenye basi linalofanya safari kati ya Mbeya na Kyela | 
No comments:
Post a Comment