KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM
Friday, June 24, 2011
CHUO KIKUU CHA UFUNDI MBEYA (MIST)
Hili ni eneo la ofisi za utawala za chuo kikuu cha ufundi Mbeya,ambacho zamani kilijulikana kama Mbeya Technical College,leo ni chuo kikuu ambacho tunategemea kitatoa waandisi wa kada mbalimbali na kuliepusha taifa kuwa tegemezi kwenye upande wa wataalamu kutoka nje
Naomba kujua vigezo vya kujiunga kwa wahitim kutoka veta level three wanaohijaji kujiendeleza.
ReplyDeleteNaomba kujua vigezo vya kujiunga kwa wahitim kutoka veta level three wanaohijaji kujiendeleza.
ReplyDelete