KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM
Wednesday, April 18, 2012
MKUU WA WILAYA AFUNGUA KONGOMANO LA MADEREVA MBEYA.
Mkuu wa wilaya ya Mbeya,ndg Evance Balama akiongea na baadhi ya madereva wa mjini Mbeya kwenye ukumbi wa JM Hotel. Bwana Balama aliwaasa madereva hao kujiendeleza kielimu na kuzingatia sheria za usalama barabarani.
No comments:
Post a Comment