KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM
Friday, December 16, 2011
YANGA KUJIPIMA NA RUVU SHOOTING KESHO
Mabingwa wa afrika mashariki na kati kesho watacheza mchezo wa kujipima nguvu dhidi ya Ruvu Shooting kwenye uwanja wa Mlandizi mkoani Pwani. Yanga wanaendelea na mazoezi makali kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa Afrika na michuano ya ligi kuu ya Vodacom.
No comments:
Post a Comment