Mh.Rais wa jamhuri ya muungano Dr.Jakaya Kikwete akiwa na baadhi ya ndugu wa marehemu Halima Mchuka kuuombea dua mwili wa marehemu 
Marehemu alikuwa mfanyakazi wa TBC mpaka inamfika,alifariki jana 29| Dec 2011,MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALI MEMA PEPONI. | 
No comments:
Post a Comment